Locate Agents

MOBILE MONEY PAYMENT

AIRTEL MONEY

• Piga *150*60#

• Chagua 5-Lipia Bili

• Chagua 1-Lipia bidhaa

• Chagua 1-Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza kiasi

• Ingiza namba ya kumbukumbu (60018215)

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

TIGOPESA

• Piga *150*01#

• Chagua 5 – Lipa kwa Simu

• Chagua 2 – Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza tarakimu 8 za mpokeaji (60018215)

• Ingiza Kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

 

MPESA

• Piga *150*00#

• Chagua 4 – Lipa kwa M-Pesa

• Chagua 4 – Ingiza Namba ya kampuni

• Ingiza 123123 (Kama Namba ya Biashara ya Mastercard QR)

• Ingiza Kumbukumbu Namba (60018215)

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

EZY PESA

• Piga *150*02#

• Chagua 5 – Malipo

• Chagua 1 – Lipa Hapa

• Chagua 2 – Lipa kwa Mastercard QR

• Ingiza namba ya mfanyabiashara (60018215)

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri kuthibitisha

HALOPESA

• Piga *150*88#

• Chagua 5 – Lipia Bidhaa

• Chagua 3 – Mastercard QR

• Ingiza Namba ya Malipo (60018215)

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho

T PESA

• Piga *150*71#

• Chagua 6 – Lipa Bidhaa/Tuma pesa

• Chagua 2 – Masterpass

• Ingiza Namba ya Malipo (60018215)

• Ingiza kiasi

• Ingiza Namba ya Siri (PIN)

• Utapokea ujumbe wa uthibitisho